Showing posts with label Vitabu. Show all posts
Showing posts with label Vitabu. Show all posts

Monday, August 13, 2012

YOUTH SOCCER - FROM SCIENCE TO PERFORMANCE

1 comments
KITABU cha Muongozo wa Mpira wa miguu kuanzia ngazi ya umri mdogo, kinachambua hatua za ukuaji na mahitaji ya mwili kufuatisha program nzima ya kukuza vipaji.
Download Bure

Wednesday, August 1, 2012

WINNING THE INTERVIEW GAME

0 comments
KITABU kitachoweza kumsaidia mtu atafutaye kazi kuweza kushinda Usaili wake bila matatizo, kutaainisha nini Wasaili wako wanataraji kutoka kwako. Jinsi ya kujitayarisha na kua na kujenga imani juu ya majibu yako.
Download Bure

JOB INTERVIEW SUCCESS

2 comments

Job Interview Success ni mkusanyiko wa ujuzi wa kujifunza juu ya usaili ulio mbele yako, mara nyingi baada ya kupata simu ya kuitwa kwenye usaili hua vigumu kupata mtu atakayeweza kukuelekeza nini cha kufanya. Kitabu hichi kitakufundisha yote ambayo ungeelekezwa na mjuzi mwingine. ni kizuri kwa watu wasio na uzoefu wa usaili kwani humuondolea hofu muhusika na kumjengea kujiamini. Download bure na fuatilia kwa makini maelekezo kisha usaili hautokua taabu kwako.

Download Bure

Saturday, July 14, 2012

THE WORK OF PROFESSIONAL FOOTBALL

2 comments
KUA mwanasoka wa kulipwa si kazi rahisi kama wengi wanavyofikiria, kua mchezaji wa kulipwa kuna mambo mengi yanayopaswa kuzingatiwa. Kitabu hichi ni moja kati ya vitabu watumiavyo wachezaji wengi wa kulipwa kuiendea safari yao ndefu ya mafanikio.
Download Bure

SOCCER - THE SCIENCE OF TRAINING

0 comments
KUFANYA mazoezi ni kati ya shughuli nzito zaidi kuliko mechi yenyewe, ili mazoezi na matayarisho yawe na msaada kwa mlengwa basi kuna sayansi kuanzia kutengeneza misuli, kutengeneza spidi kufikia kikomo chako na ustahamilivu. Kudownload kitabu hichi kutakupatia manufaa mengi na ni bure.
Download Bure

SOCCER IN A FOOTBALL WORLD

0 comments
KWA taifa kubwa na lenye mafanikio kimichezo kama MAREKANI ni jambo la ajabu kuona hawana mafanikio katika soka, ila jambo lililopo ni wao kujipanga kuliendea hilo. Kitabu hichi kitakupa taswira ya nini kifanyike kufanikiwa kwenye mipango ya soka endelevu na lenye mafanikio uwanjani.
Download Bure

SCIENCE AND SOCCER

0 comments
MWILI wa mwanadamu ni kama mashine inayohitaji uangalizi kama mara kwa mara unahusishwa na matumizi ya kupita kiasi na mapumziko yanakua si ya kutosha. Kupitia sayansi ya michezo, ni rahisi kucheza mchezo wa mpira wa miguu kwa uhuru na kujiamini.
Download Bure

NUTRITION AND FOOTBALL

0 comments
LISHE na mpira wa miguu na michezo yote inayotumia nguvu ni vitu visivyotenganishwa. Kula kama kula kuna wakati hua si msaada kwa afya ya kimichezo. Jua nini unapaswa kula na kwa wakati gani hilo ndio hua swali wajiulizalo wanamichezo wengi. Pitia kitabu hichi, na ni muhimu kwa wote wanaochukulia mazoezi kwa  umakini.
Download Bure

SOCCER COACHING MANUAL

0 comments
KITABU hichi kitafaa sana kwa makocha hasa wa mtaani kwa hapa Tanzania, kwa wale wasio na mpangilio ama wanaohitaji mpangilio uliopitishwa na FIFA.
Download Bure

SOCCER MATCH ANALYSIS

0 comments
KITABU chenye maelekezo yatakayokkuwezesha kutambua kwa ufasaha jinsi ya kuchambua mpira. Kukuongezea ufanisi wa kujua mpira wa miguu.
Download Bure

WORLD SOCCER - JUNE 2012

0 comments
WORLD SOCCER gazeti la mpira wa miguu kwa mwezi june 2012, utapata kuwajua mastaa wajao wa Timu ya taifa Uingereza, mchanganuo juu ya Ronaldo na Messi, hadithi ya kusisimua kuhusu Chelsea ilivyochukua kombe la UEFA Munich.
Download Bure

WORLD SOCCER - MAY 2012

0 comments
WORLD SOCCER May 2012, jua siri za mastaa wa UERO 2012, ligi ya Brazil, interview kutoka kwa Carlo Ancelptti, magoli yanayovunja rekodi ya Messi na Ronaldo. Mjue kwa undani David Silva
Download Bure

WORLD SOCCER - FEBRUARY 2012

0 comments
WORLD SOCCER February 2012, Drogba: Staa mkubwa wa Afrika, MApenzi na Soka: Uchambuzi kuonesha kwa kiwango gani kufanya mapenzi kabla ya mechi kubwa kunaathiri utendaji. Utapata kuwajua mabeki bora wa Ulaya. Anelka akiwa China. Mwongozo wa mashindano ya Afrika 
Download Bure

WORLD SOCCER - NOVEMBER 2010

0 comments
WORLD SOCCER November 2012, unakumbuka Rooney alivyobadili maneno yake ya kuihama MAnU? PELE akiwa na miaka 70, Skendo za FIFA, Interview ya kusisimua na MESSI.
Download Bure

BECKHAM - BOTH FEET ON THE GROUND

0 comments
KITABU cha maisha binafsi ya mwanakabumbu maarufu duniani: BECKHAM, jua undani na mikiki mikiki ya maisha yake binafsi
Download Bure

OSAMA BIN LADEN - A BIOGRAPHY

0 comments
MAISHA ya OSAMA BIN LADEN, mfahamu mtu huyu aliyepata kuitikisa dunia kwa kujua yote kuhusu yeye. Kitabu kielezacho mambo mengi aliyopitia kabla ya kubadili mwelekeo.
Download Bure

MICHAEL JACKSON - ULTIMATE MUSIC LEGEND

0 comments
KITABU kuhusu maisha ya mtu mashuhuri zaidi duniani na mwanamuziki mkubwa kupata kutapta kutokea. Maisha yake ya kimuziki na mengi tusiyoyajua.
Download Bure

CHE GUEVARA - A BIOGRAPHY

0 comments
KITABU kuhusu mwanamapinduzi hodari na kiongozi mwenye matata duniani, jua kwa nini ni maarufu sana na nini alifanya hasa kupata sifa zote azipatazo.
Download Bure

BRUCE LEE - THE ART OF EXPRESSING THE HUMAN BODY

0 comments
BRUCE LEE, mtu wa kipekee kupata kutokea duniani, kitabu kitajikita zaidi kwenye maajabu ya mwili na nini aliweza kufanya kwa kutumia sanaa ya KUNG FU hapo mwanzo kikidhaniwa hakiwezekani.
Download Bure

ANGELINA JOLIE - A BIOGRAPHY

0 comments
ANGELINA JOLIE, jina kubwa kwenye tasnia ya sinema HOLLYWOOD. Kwa nini hatumii jina la baba yake. Nini kilitokea mpaka kakawa chui na paka na mzazi wake. Mambo ya kimsingi aliyoyafanya kufika hapo alipofikia.
Download Bure
Powered by Blogger.