Wednesday, August 1, 2012

DESKTOP ICON TOY 4.6




Sasa unaweza badilisha jinsi ambavyo unataka desktop icons zionekane na kuitikia


Desktop Icon Toy is ni Windows utility ambayo itakuwezesha kubadili jinsi unavyotaka icon zako zijipange kwenye desktop yako pia kurekebisha zinavyoonekana.


Baada ya kuinstall, application hii itaweka icon zako zote zilizopo kwenye desktop kwenye System Tray ambayo itakupa uwezo wa kuzibadilisha setting kwa urahisi.


Kuna option pia ambayo unaweza badilisha icon na kua kama zinacheza pale unapopitisha arrow mouse juu yake inayoitwa “dancing icon”, pia kubadili saizi pamoja na zinavyocheza.


Kuna maumbo mengi unayoweza chagua kufanya icon zako zijipange, kama clock, heart, spiral or pentagon.
Kwa mfano, ukichagua umbo la saa, Desktop Icon Toy automatically itabadili umbo lililokuwepo na kubadili layout kuaonesha mada sahihi kadri muda upitavyo.


Kwa ujumla, Desktop Icon Toy ni zaid ya handy tool, ina entertaining pia.


Size / OS:    723 KB / Windows NT / 2K / XP / 2003 / Vista


0 comments:

Post a Comment


Best Blogger Tips

Powered by Blogger.