Showing posts with label Antivirus. Show all posts
Showing posts with label Antivirus. Show all posts

Tuesday, July 31, 2012

AVAST FREE ANTIVIRUS

0 comments


Avast! Free Antivirus ni sawia hasa kwa wanaotuma zaidi email na kuperuzi kuraza za tovuti maaraufu. avast! ni application yenye dhumuni la kuilinda computer dhidi ya virusi ama malware. Kama ukiitumia kwa usahihi, na kwa usaidizi wa program zingine za data backup, inaweza kupunguza sana kama si kufuta kabisa uwezekano wa computer yako kushambuliwa ama kuathiriwa na virusi, na kw hivyo kuepusha hatari ya kupoteza  data muhimu.
Nyuma yya kushinda zawadi mbalimbali za ubora! antivirus engine, avast! antivirus imebeba kazi zote muhimu ambazo zinatakiwa kuwemo kwenye antivirus program ya kisasa. Inajumuisha anti-spyware technology iliyothibitishwa na West Coast Labs' Checkmark process, ikiwamo anti-rootkit na self-protection capabilities yenye nguvu zaidi, si hayo tu bali kwa sasa inaspidi kubwa sana linapokuja suala la kuscan. Imesheheni real-time "Shields" mbalimbali ziwezeshazo kumonitor email na Internet connections bila kusahau kucheki mafaili yako yaliyopo kwenye computer muda wote pindi yanapofunguliwa ama kufungwa.
Requirements:

· Processor Pentium 3
· 128 MB RAM
· 200 MB of free hard disk space



UKUBWA: 85.2 MB
OS: Windows 2K / XP / Vista / 2008 / Vista64 / 7 / 7 x64





Download Bure

AVG Free Edition 2012

0 comments

AVG Free Edition application hutoa PROTECTION ya kawaida kwa surfing, searching and social networking.  Watu zaidi  ya milion duniani kote hutumia VG Anti-Virus Free kwa matumizi ya kimsingi. Ikiwa utakua unaperuzi internet ama ku-google hata kuwasiliana na watu kwenye mitandao ya kijamii AVG itakulinda thidi y avirusi na vyote vitokanavyo na virusi.

AVG Anti-Virus Free Edition 2012 itakufanya:
- Kuperuzi na kutafuta kurasa bila wasiwasi kupitia AVG LinkScanner's real-time protection
- Utaendelea kulindwa katika mitandoa ya kijamii kupitia AVG Social Networking Protection
- Furahia spidi kubwa ya kuscan PC kwa msaada wa AVG Smart Scanning
- Kua up-to-date na vitisho vipya vya kila siku viibukavyo kwa msaada wa AVG Community Protection Network na AVG Protective Cloud Technology


Here are some key features of "AVG Free Edition 2012":

KAZI HASA:
· Kuondoa virusi waliokubuhu hasa wa online.

KUPERUZI, KUSACHI NA MITANDAO YA KIJAMII:
· kuepuka kurasa vinazoweza kuwa na madhara na kuendelea kua salama katika mitandao hiyo ya kijamii.


Click hapa uone picha ya Antivirus hii inavyofanya kazi


Requirements:

· Intel Pentium 1.8 GHz processor or faster
· 550 MB free hard drive space (for installation)
· 512 MB RAM

Size: 142 MB
OS: Windows XP / Vista / XP X64 / Vista64 / 7 / 7 x64









Download Bure

AVIRA ANTIVIR PERSONAL

0 comments
                                     
Avira AntiVir Personal hua ni chaguo kwa wale wanaotafuta ufumbuzi wa antivirus inayofanya vizuri na yenye kujiupdate mara kwa mara, kwa kua na uhakika vurusi hawana upenyo katika computer yako ili kutunza data muhimu kwa uhakika.

Click hapa uone picha ya Antivirus hii inavyofanya kazi

Here are some key features of "Avira AntiVir Personal - Free Antivirus":

· AntiVir protection dhidi ya viruses, worms  na Trojans AntiDialer .
· AntiRootkit protection kupambana na rootkits ambazo hujificha kwenye system
· Inascan kwa uharaka kufikia 20% zaidi
· Inazuia AntiPhishing
· Inakinga pia AntiSpyware 
· QuickRemoval huandoa virusi kwa kubofya mara moja

Requirements:


· At least 100 MB of free hard disk memory space (more if using Quarantine for temporary storage)
· At least 192 MB RAM under Windows 2000/XP
· At least 512 MB RAM under Windows Vista
· For the installation of Avira AntiVir Personal: Administrator rights
· For all installations: Windows Internet Explorer 6.0 or higher

UKUBWA: 94.6 MB
OS: Windows XP / Vista / XP X64 / Vista64 / 7 / 7 x64




Download Bure

AVIRA ANTIVIR RESCUE SYSTEM

0 comments

Avira AntiVir Rescue System hurahisisha kuaccess computer ambayo imegoma kuboot. Kwa hiyo inakua rahisi:


- Repair Systrm yenye hitilafu, kuokoa data, 

- Kuscan system nzima kuondoa maambukizo ya virusi.



Unatakiwa kudouble-click kwenye Rescue system package ili uiburn kwenye CD/DVD. Kisha panapotatizo hilo unaweza tumia  CD/DVD kuboot computer yako.



ScreenShots

Avira Antivir Rescue System screenshot 1

Avira Antivir Rescue System screenshot 2


Avira Antivir Rescue System screenshot 3 - Avira AntiVir Rescue System allows users to access computers that cannot be booted anymore.

Avira Antivir Rescue System screenshot 4



kubwa: 235 MB 
OS: Window Zote

Download Bure

USB DEFENDER 1.2

0 comments

Application itakayokulinda dhidi ya USB Flash viruses.

Umeshawahi jiuliza, kwa nini kila mtu anaongelea kuhusu hatari ya USB flash? Kwa nini ni vigumu kudhibiti maelfu (!) ya virusi ambao wanasambazwa na na kitu kidogo kama flash drive? Kuna program nyingi sana ambazo hua zinasubiri flash iunganishwe kwenye computer na kisha ianze kazi ya kusaka virusi na kuziondoa. Program hii inafanya zaidi ya hilo kwani hii huVACCINATE (CHANJO) kwenye USB Flash yako, na kamwe hutopata shida ya kupoteza file zako kwa kuliwa na virusi. No more viruses. No more danger.

USB Defender ilitengenezwa kwa lengo la kutumika kirahisi. Unaweza ona button 2 tu: "Protect" na "Unprotect". Button ya kwanza inatumika kuvaccinate flash yako, na ya pili kuondoa PROTECTION. Baada ya kuchagua drive yoyote, program automatically itagundua, kama kuna PROTECTION iliyo ACTIVE na button 1 tu ndio itakuwepo.

USB Defender ni portable(Haiitaji installation: ni kuirun) - kwa hiyo unaweza kwenda nayo kokote ila unashauriwa kudownload hapa ili usije kopi kutoka kwa mtu ikiwa tayari imeshaathirika kwani ikiwa imehifadhiwa na ipo inactive mahali palipo virusi! Irun flash yako ikiwe imeunganishwa na computer yako kisha Protect.


Mahitaji:


· Monotype Corsiva font installed·


· new interface
· decreased exe size
· own combo
· shows drive's letter, label and file system
· only flash drives shown
· removed note about another program protection
· all found bugs fixed

Ukubwa: 352 KB 
OS: Windows 2K / XP / Vista / 7

Download Bure

RISING ANTIVIRUS

0 comments


Hii antivirus itakupatia Ulizi hasa na usiokoma kwa computers yako.



RISING Antivirus Free Edition italinda computer yako dhidi ya aina zote za viruses, Trojans, Worms, Rootkits na zote zenye program zote zenye madhara.


Rahisi kutumia, Ina teknolojia ya KUKINGA, KUSCAN Virus WAPYA na teknolojia ya juu ya KUWASAFISHA, kwa kuistall RISING Antivirus itakufanya kusahau kabisa mambo y a virus na kujikita zaidi kwenye kazi zako za kwenye computer.


Rising Antivirus Free Edition ni utatuzi usio na gharama kwa watu watumiao na bado inatoa UTAMBUZI sawa kama Rising Antivirus!



NOTE:
Hii ni Free kwa matumizi binafsi tu, kwa makampuni wanunue full edition.



Hizi ni Kati ya kazi za "Rising Antivirus Free Edition"(In English):


Zero-Day Computer Security Protection with Rising Cloud Security:
· Rising Cloud Security 3.0, with high intelligence performance based on strong technique support from Rising Cloud Security Data Center which is the largest one in Asia and, the most efficient Rising Antivirus Virtual Machine Technique, as well as Rising Virtual Engine Technique, to perform the most excellent platform focusing on intelligent data collection, automatic data analysis, and providing professional security solution against Internet threats, behaviors of malicious attack from hackers, habits of computer users setting computer security defense, and traditional computer security defense.


Computer Security Protection:
File Monitor:



Email Monitor:


USB Disk Protection:


Trojan Defense:


Basic Settings:


Mahitaji:


· Microsoft Windows 2000/XP/2003:
· CPU: 500 MHz and above
· Memory: 256MB system memory, up to 4GB
· Graphics Card: standard VGA, 24 true colors
· Others: CD-ROM and mouse
· Microsoft Windows Vista , Windows 7/Server 2008:
· CPU: 1.0 GHz and above, 32-bit (x86) or 64-bit (x64)
· Memory: 512 MB system memory and above, up to 4GB
· Graphics Card: standard VGA, 24 true colors
· Others: CD-ROM and mouse


Size:  245 MB 
OS: Windows Zote



Download Bure

KASPERSKY SECURITY SCAN

0 comments

Itaangalia usalama wa PC yako kwa haraka.



Kaspersky Security Scan ni antivirus inayotegemewa kwa kurekebisha matatizo ya virus amabayo imetengenezwa  ku scan PC kwa malware threats.
Kaspersky Security Scan huscan computer yako kwa kina na kugundua virus ambao wameweka makazi kwa kupitia  cloud-based database.
Kaspersky Security Scan pia hucheki usalama wa system ya komputa yako kama vile uwepo a antivirus ama firewall.

Mahitaji:


· Processor 800 MHz or higher (Processor 1 GHz or higher for Vista & 7)
· 512 MB available RAM (1 GB RAM (32-Bit) or 2 GB RAM (64-Bit) for Vista & 7)
· At least 480 MB of free space on the hard drive
· Computer mouse/touchpad
· Internet connection
· Microsoft Windows Installer 2.0 or higher

Size: 175 KB 
OS:  Windows XP / Vista / 7 / 7 x64

Download Bure
Powered by Blogger.