Tuesday, September 17, 2013

JINSI YA KUPATA 100BM ZA INTENET KILA SIKU BURE : INTERNETFASTA NA PDRPOXY

8 comments

MWANZO

Internet imekua ni muhimu sana kwa vijana wa ki-Tanzania katika maisha yao ya kila siku lakini wakati huo huo imekua ikipanda bei kadri siku zinavyozidi.

Ni kawaida kuambiwa umepata unlimited internet access kwa mwezi baada ya kufanya malipo yasiyopungua elfu 35. Cha kushangaza ni kwamba baada ya muda mfupi wa matumizi hasa utafikia 3GB basi hapo huanza kua slow kwa siku zote zilizosalia. Hili si jambo zuri kwani kwa vijana kudownload, kuangalia muvi online na bila kusahau Youtube ndio habari hasa kuhusu Internet. 
Kifupi kitu chochote chenye Ukubwa zaidi ya 50MB kimsingi hua kama hakiwezekani tena kwa kutumia vifurushi tununuavyo kwa kuhofia spidi kupungua ama kugoma kufungua tena.

Kama kuna kumdhibiti mtu asipate kwa kiwango anachotarajia basi kwa nini usimpe bure!
PdProxy na internet fasta itamuwezesha mtu mwenye matumizi yasiyozidi 100mb kwa siku kuweza kutumia huduma hii bure kila siku.

Iwapo utafauata maelekezo yafuatayo kwa umakini na kufanikiwa kuinstall hicho kijisoftware basi utakua umejiweka katika nafasi nzuri ya kupata 100MB bure kila siku kwa kutumia DEMO Server za PdProxy.

FAIDA
Internet hii itakuwezesha: kuona content zilizozuiwa kwa kawaida na ISP ama zile maalumu kwa nchi fulani - utaweza kuziona pia.

Hakuna mtu ataweza kujua IP adress yako ama mahali ulipo.
Hakuna hata hacker atakayeweza kubaini website gani unaperuzi ukiwa unatumia PD-Proxy.

INAKUWAJE
Kwa kua na modem yako inayokubali line ya Vod Tanzania isiyokua na pesa lakini ikiwa umeunganishwa, kwa msaada wa PDProxy uliyoinstall kwenye kompyuta yako basi utaweza kuperuzi Internet yenye kasi kama kawaida. 

MAHITAJI
Modem inayokubali Line Ya Vod na line ya Vod
Akaunti ya PDProxy
Installation ya PdProxy kwenye kompyuta yako.

Najua una shauku la kutaka kujua jinsi ya kuinstall ili uanze kutumia huduma hii.1. HATUA YA KWANZA | KUJIUNGA - 

i) USAJILI
Hatua ya kwanza ni kujiunga na akaunti na huduma hii.
1. Signup kwa ajili ya kua na Akaunti ya PdProxy - fuata link hii: http://www.pdproxy.com/signup.htm 
Jaza kwa mfano wa picha hapo chini - tumia jina unalotaka sio lazima james. Na password ni lazima iwe na mjumuiko wa herufi na namba.

 

 

ii) UTHIBITISHO
Hakiki akaunti Yako (Confirm Your Account) - baada ya ku-signup nenda kwenye email yako ili kuhakiki akaunti yako ya PdProxy .
Kwenye Inbox Yako utakuta email kutoka PdProxy na hakiki kwa kubofya linki iliyoandikwa Confirm my account now - uhakiki kwa kubofya link iliyoandikwa hivyo ama kwa mfano wa picha ioneshavyo hapa chini.

 

Baada ya hapo utakua umeshajipatia akaunti yako ya PdProxy. Hifadhi vizuri Username yako pamoja na password yako kwani ndizo zitakazotumiaka kwenye ile software baada ya kufuata haya maelekezo ya kuiinstall.


HATUA YA PILI | KUINSTALL PDPROXY SOFTWARE KWENYE LAP/KOMPYUTA


i) Download PD-Proxy Software


Download Download kijisoftware cha PD-Proxy kupitia link hiiBaada ya kudownload unatakiwa kudoble click hilo file ambalo litakua katika format ya WinRAR.
Ukidoble click hilo file na litafunguka kama picha hapo chini inavyoonesha - highlight folder lililo ndani bila kulifungua na bofya Extract to kama mshale katika picha hiyo hapo chini inavyoelekeza.
 Chukua file ambalo utakua umelixtract na likopi.
Baada ya kulikopi, ingia local file drive C kama picha inavyoonesha.


Baada ya kua umelikopi na kuingia local drive C, ingia tena Program Files.


Lipest ndani ya Program Files na fungua folder hilo kwa kuli-double click
Right -click file lililoandikwa "PD-Proxy.exe" na li-run kama Administrator. Angalia picha hapo chini.
Start PD-Proxy Image Uki-run as administrator PD-Proxy itajaribu ku-install TAP-Win32 driver. Na itafungua kama mfano wa taswira iliyo hapo chini. 

Searching TAP Driver

Kisha chini ya sekunde 10 mfano wa tafsira ya picha iliyopo hapo chini itatokea na kama haikutokea basi system yako itakua imeshainstall hizo TAP-Win32 kupitia software zingine. 
 
Kama picha hiyo itatokea kukutaka kuinstall hizo drivers ubofye "Install" kuendelea kuinstall na subiri kwa sekunde 10 installation imalize. Isipotokea si mbaya kwani utakua umeshaistall kupitia software zingine.

Installing TAP Driver 
Utaona picha ifuatayo ifuatao kama umefanikiwa kuinstall vizuri TAP-Win32 driver. Kama usipotokea jaribu hizi hatua mara tatu zaidi na kama zitakua bado hazitokea basi ingia kwenye  ukuraasa huu kwa maelekezo zaidi.
TAP Driver Installed 

Sasa unaweza kuunga kwenye servers za DEMO kwa kupata 100MB za bure kila siku na kama utahitaji kuperuzi bila kikomo - baada ya malipo ya sh. elfu 10 kwa mwezi utaweza kuchagua server zingine zote. Ni kuchagua tu server unayotaka kutumia.
Server selection 

Hakikisha protocol ili kujiunga ni lazima iwe UDP kwa spidi nzuri na uimara wa mtandao.

Protocol selection 

Ingiza jina lako/username na password. Kama bado hujafungua akaunti yako basi ingia kwenye kurasa hii na ufuate maelekezo rahisi kutengeneza akaunti yako ya PD-Proxy .
Enter username and password 

Anza kwa kuunga modem yako yenye line ya vod isiyokua na pesa ama bando.
Kisha ukishaunga - fungua PdProxy yako na ubofye kwenye kitufe kilichoandikwa connect. Spidi ya mtandao huu utategemea sana spidi ya kompyuta yako na modem kwa wakati huo.
 

Kama windows firewall itakua enabled, windows itauliza kama unataka kuiruhusu PD-Proxy VPN kuunga  internet. Bofya kitufe cha "Allow access".
Allow PD-Proxy in Firewall 

Kama ukiona ujumbe huu kama picha ya chini inavyoonesha basi inamaanisha tayari umeshaungwa na mtandao na server za PdProxy. Ili kufikia hatua hii unatakiwa uwe umeunga modem yako yenye laini ya vod na ndipo uunge PdProxy software. Kwenye hizo field kama unataka kutumia 100mb za bure kwa siku basi utachagua server ya demo na kama utataka ile ambayo ni unlimited kwa siku 30 utatakiwa kulipia elfu 10.


Name:InternetFasta Tsh 10,000/= Siku 30
Location:Tanzania
Payments accepted:
Western-Union
Tigo PESA
M-Pesa
Airtel Money

Contact Details
Email:fullsoka@gmail.com
Phone Number:+255764111809
+255713888667
Download Bure

Monday, August 13, 2012

YOUTH SOCCER - FROM SCIENCE TO PERFORMANCE

1 comments
KITABU cha Muongozo wa Mpira wa miguu kuanzia ngazi ya umri mdogo, kinachambua hatua za ukuaji na mahitaji ya mwili kufuatisha program nzima ya kukuza vipaji.
Download Bure

Wednesday, August 1, 2012

DESKTOP ICON TOY 4.6

0 commentsSasa unaweza badilisha jinsi ambavyo unataka desktop icons zionekane na kuitikia


Desktop Icon Toy is ni Windows utility ambayo itakuwezesha kubadili jinsi unavyotaka icon zako zijipange kwenye desktop yako pia kurekebisha zinavyoonekana.


Baada ya kuinstall, application hii itaweka icon zako zote zilizopo kwenye desktop kwenye System Tray ambayo itakupa uwezo wa kuzibadilisha setting kwa urahisi.


Kuna option pia ambayo unaweza badilisha icon na kua kama zinacheza pale unapopitisha arrow mouse juu yake inayoitwa “dancing icon”, pia kubadili saizi pamoja na zinavyocheza.


Kuna maumbo mengi unayoweza chagua kufanya icon zako zijipange, kama clock, heart, spiral or pentagon.
Kwa mfano, ukichagua umbo la saa, Desktop Icon Toy automatically itabadili umbo lililokuwepo na kubadili layout kuaonesha mada sahihi kadri muda upitavyo.


Kwa ujumla, Desktop Icon Toy ni zaid ya handy tool, ina entertaining pia.


Size / OS:    723 KB / Windows NT / 2K / XP / 2003 / Vista


Download Bure

WINNING THE INTERVIEW GAME

0 comments
KITABU kitachoweza kumsaidia mtu atafutaye kazi kuweza kushinda Usaili wake bila matatizo, kutaainisha nini Wasaili wako wanataraji kutoka kwako. Jinsi ya kujitayarisha na kua na kujenga imani juu ya majibu yako.
Download Bure

JOB INTERVIEW SUCCESS

2 comments

Job Interview Success ni mkusanyiko wa ujuzi wa kujifunza juu ya usaili ulio mbele yako, mara nyingi baada ya kupata simu ya kuitwa kwenye usaili hua vigumu kupata mtu atakayeweza kukuelekeza nini cha kufanya. Kitabu hichi kitakufundisha yote ambayo ungeelekezwa na mjuzi mwingine. ni kizuri kwa watu wasio na uzoefu wa usaili kwani humuondolea hofu muhusika na kumjengea kujiamini. Download bure na fuatilia kwa makini maelekezo kisha usaili hautokua taabu kwako.

Download Bure
Powered by Blogger.