Job Interview Success ni mkusanyiko wa ujuzi wa kujifunza juu ya usaili ulio mbele yako, mara nyingi baada ya kupata simu ya kuitwa kwenye usaili hua vigumu kupata mtu atakayeweza kukuelekeza nini cha kufanya. Kitabu hichi kitakufundisha yote ambayo ungeelekezwa na mjuzi mwingine. ni kizuri kwa watu wasio na uzoefu wa usaili kwani humuondolea hofu muhusika na kumjengea kujiamini. Download bure na fuatilia kwa makini maelekezo kisha usaili hautokua taabu kwako.

2 comments:
Kwako Mr naomba unielekeze kama nahitaji kumpiga picha MTU kutumia camera ya simu take na Mimi natumia simu yangu kwa kimtandao program gani ?
Kama kuna MTU anasumbua kupiga simu na kuongea MANENO ya kipuuzi marusi kashifa ukitazama yupo kwenye hadhara za watu kwenye usafiri kama daladala basi LA mkoa na kadhalika je? IPO program ya kumzimia date ya mawasiliano ya network ya kimtandao kama IPO nitumie kwenye EMAIL HII:PONGWAmasiku@gmail.com
Post a Comment