Showing posts with label Software. Show all posts
Showing posts with label Software. Show all posts

Wednesday, August 1, 2012

DESKTOP ICON TOY 4.6

0 comments



Sasa unaweza badilisha jinsi ambavyo unataka desktop icons zionekane na kuitikia


Desktop Icon Toy is ni Windows utility ambayo itakuwezesha kubadili jinsi unavyotaka icon zako zijipange kwenye desktop yako pia kurekebisha zinavyoonekana.


Baada ya kuinstall, application hii itaweka icon zako zote zilizopo kwenye desktop kwenye System Tray ambayo itakupa uwezo wa kuzibadilisha setting kwa urahisi.


Kuna option pia ambayo unaweza badilisha icon na kua kama zinacheza pale unapopitisha arrow mouse juu yake inayoitwa “dancing icon”, pia kubadili saizi pamoja na zinavyocheza.


Kuna maumbo mengi unayoweza chagua kufanya icon zako zijipange, kama clock, heart, spiral or pentagon.
Kwa mfano, ukichagua umbo la saa, Desktop Icon Toy automatically itabadili umbo lililokuwepo na kubadili layout kuaonesha mada sahihi kadri muda upitavyo.


Kwa ujumla, Desktop Icon Toy ni zaid ya handy tool, ina entertaining pia.


Size / OS:    723 KB / Windows NT / 2K / XP / 2003 / Vista


Download Bure

Tuesday, July 31, 2012

Quicktime 7 Skin for KMPlayer

0 comments

Quicktime 7 Skin for KMPlayer screenshot 1 - This is the way your KMPlayer will look like after you apply the Quicktime 7 Skin

Pendezesha muonekano wa KMPlayer

Quicktime 7 Skin for KMPlayer itakupatia uwezekano wa kubadili sura(interface) ya KMPlayer.

Jinsi ya Kuinstall:
· Extract skin file kwenda kwenye KMPlayer skins folder
· Copy Lucida Gr font na paste kwenye folder la “Fonts” kwenye Windows
Mahitaji:

· KMPlayer
Ukubwa: 624 KB
OS: Windows zote

Download Bure

KMPlayer 3.3.0.33

2 comments
KMPLAYER ni program inayokuwezesha kuplay sauti na picha za video.
Ni moja kama si bora kabisa kati ya movie na audio player nilizowahi kutumia ambayo inasupport codes nyingi zaidi na aina mbalimbali za file formats, Ina full VCD/DVD playback functionality. Wow!


Hizi ni features za "KMPlayer"(In English):

Supported Files or Devices:
· HTTP Streaming(AVI etc including none-streaming media)
· Directshow playback (avi, mkv etc)
· Real Engine + Directshow (needs Real Player or Alternative)
· QuickTime Engine + Directshow (needs QuickTime player or Alternative)
· Mplayer Engine Support
· Winamp Input Plugin(decoder) Support
· Compressed Audio Album Support(zip, rar)
· Audio CD(2000, XP only / Win9x-Support by winamp plugin)
· Video CD/SVCD/XCD : CDXA Format (2000, XP only)
· DVD playback
· DTS Wave and AC3 files
· WDM device support like TV or Camera
· CD Image File (BIN/ISO/IMG/NRG) ; NRG needs mplayer.dll
· Shoutcast (Including NSV)
· AAC, OGG parser/decoder
· Shockwave Flash/FLC/FLI
· Ape/MPC/Flac/Module etc
· Various Image files like png, gif etc
· Incomplete/Damaged AVI file (Skip Damaged Frames)
· Locked Media Files while downloading or sharing

Built-in Codec/Filters:
· Video Codec
· MPEG4 (Divx/Xvid : ffmpeg/xvid)
· MPEG1/2 (ffmpeg/libmpeg)
· etc (ffmpeg)
· Audio Codec
· AC3/DTS/LPCM/MPG/MP3/OGG/AAC/WMA
· 2Ch to Multi Channel expansion
· External Codec
· Media Priority to Connect among Directshow, Real, QT, Winamp and Mplayer
· Custom Filter Manager
· System Filter Manger

Plugins:
· Winamp Input Plugins
· Winamp DSP Plugins (Can Stack)
· Winamp Visual Plugins (Can Stack)
· Winamp General Plugins (Media Library etc Support)
· KMP Video Plugins by SDK (Can Stack)
· DScaler Filter Support (Can Stack)
What's New in This Release: [ read full changelog ]

· Added Web Search Bar.
· Supports Blu-Ray Play.
· Supports DIVX(xsub) Subtitle(AVI files only).
· Added video codec ProRes(APCH, APCN, APCS, ACPO, AP4H).
· Added video codec(IV50, RV40).
· Fixed AVI source filter(Supports playing damaged file).
· Fixed MKV source filter(Improved performance).
· Fixed RM, RMVB file seek error & Supports damaged file play.
· Fixed ASF file error.
· Fixed URL Play for AVI file.
· Fixed display infomation for MP3 bitrate.
· Fixed background resize error of SWF play.
· Fixed overflow of memory error when external audio file is used.
· Fixed access violation when updating.
· Fixed file name display error while starting a playback.

UKUBWA: 23.1 MB 
OS: Window Zote

Download Bure

FACEBOOK MESSENGER

0 comments


Chat with your facebook buddies from your desktop


Facebook Messenger ni program ya kung'amua kwa urahisi ambayo itakuwezesha watumiaji kufurahia zaidi Facebook kwa kutumia browsers (mozilla, google chrome n.k) zao za kawaida.

Ukiwa unaperusi web ama kutumia aplications zingine katika computer yako, unaweza:
· Kuchat na kutumiana ujumbe na marafiki zako kwenye facebook
· Kuona updates kutoka kwa marafiki zako kwenye ticker
· Kupata notifications haraka kuhusu kinachoendelea

Mahitaji:


· Internet connection
· Akaunti ya Facebook
Size : 481 KB
OS: Windows 7 / 7 x64

Download Bure

EYE REALAX 1.0

0 comments

Inakukumbusha kila baada ya lisaa la kutumia komputa kupoza /kurelax macho yako.


Kwa kua kutumia komputa moja kwa moja si vema kiafya EYE RELAX ni program amabayo itakukumbusha muda wa kurelax macho yako kwa kufanya mazoezi rahisi ya macho lakini yenye maana kubwa kwa afya ya macho yako.


Unachotakiwa kufanya ni mazoezi rahisi kama ifuatavyo:
1. Vua pumzi ndefu na urelax.
2. Kaza macho kuangalia katikati ya screen yako ya komputa iliyotupu na peleka jicho lako(Bila kupepesa kichwa) mpaka mwisho kabisa kulia kwako kisha rudia hivyo kwa upande wa kushoto (angalia mbali kadri uwezavyo).
3. Fanya zoezi hilo kwa haraka haraka mpaka screen tupu itakapotoweka. Itatoweka baada ya dakika 5 (Default).


Hii ni rahisi sana ila ni zoezi muhimu sana. Kama mazoea ya mazoezi haya yakijengwa hii itadumisha afya ya afya yako.
SIZE: 484 KB
OS: WINDOW ZOTE





Download Bure

Tuesday, July 17, 2012

BATTERYBAR 3.5.4

0 comments
BatteryBar screenshot 2

KWA kawaida ni vigumu kujua kwa usahihi muda uliobakia kwenye battery ya laptop, Windows( by default) hua zinaonesha asilimia ni msaada pia lakini kujua hasa zimebaki dakika ama saa ngapi uanze kuhifadhi(save) mafile yako muhimu.
BatteryBar ni kipimo cha kinachoonesha muda sahihi uliobakia. Una uchaguzi kuweka asilimia ama muda wa masaa.

Pindi unapokua unatumia battery, BatteryBar inakuonesha asilimia kwa rangi ya kijani (> 40%), njano (25-40%), ama nyekundu (< 25%). BatteryBar itakuonesha muda uliobaki kwa Masaa:Dakika

Na utapokua unachaji, asilimia huoneshwa kwa rangi ya blu kuonesha inachaji, na hukisia muda itakaotumia kuchaji kufikia FULL CHARGED. Itabadilika na kua nyeusi na itaandika "On A/C" itakapokua FULLY CHARGED.
Hizi ni kati ya mambo ambayo "BatteryBar" itasaidia:

· Kwa takwimu inatasfiri muda -
· Tafsiri - Unauwezo wa kutumia lugha ama kubadili kabisa iliyokuwepo(English)You
Requirements:

.NET Framework 2.0
Ukubwa / OS: 1.2 MB / Windows 2K / XP / 2003 / Vista / Vista64 / 7



Download Bure
Powered by Blogger.