Tuesday, July 31, 2012

EYE REALAX 1.0


Inakukumbusha kila baada ya lisaa la kutumia komputa kupoza /kurelax macho yako.


Kwa kua kutumia komputa moja kwa moja si vema kiafya EYE RELAX ni program amabayo itakukumbusha muda wa kurelax macho yako kwa kufanya mazoezi rahisi ya macho lakini yenye maana kubwa kwa afya ya macho yako.


Unachotakiwa kufanya ni mazoezi rahisi kama ifuatavyo:
1. Vua pumzi ndefu na urelax.
2. Kaza macho kuangalia katikati ya screen yako ya komputa iliyotupu na peleka jicho lako(Bila kupepesa kichwa) mpaka mwisho kabisa kulia kwako kisha rudia hivyo kwa upande wa kushoto (angalia mbali kadri uwezavyo).
3. Fanya zoezi hilo kwa haraka haraka mpaka screen tupu itakapotoweka. Itatoweka baada ya dakika 5 (Default).


Hii ni rahisi sana ila ni zoezi muhimu sana. Kama mazoea ya mazoezi haya yakijengwa hii itadumisha afya ya afya yako.
SIZE: 484 KB
OS: WINDOW ZOTE





0 comments:

Post a Comment


Best Blogger Tips

Powered by Blogger.