Tuesday, July 17, 2012

BATTERYBAR 3.5.4

BatteryBar screenshot 2

KWA kawaida ni vigumu kujua kwa usahihi muda uliobakia kwenye battery ya laptop, Windows( by default) hua zinaonesha asilimia ni msaada pia lakini kujua hasa zimebaki dakika ama saa ngapi uanze kuhifadhi(save) mafile yako muhimu.
BatteryBar ni kipimo cha kinachoonesha muda sahihi uliobakia. Una uchaguzi kuweka asilimia ama muda wa masaa.

Pindi unapokua unatumia battery, BatteryBar inakuonesha asilimia kwa rangi ya kijani (> 40%), njano (25-40%), ama nyekundu (< 25%). BatteryBar itakuonesha muda uliobaki kwa Masaa:Dakika

Na utapokua unachaji, asilimia huoneshwa kwa rangi ya blu kuonesha inachaji, na hukisia muda itakaotumia kuchaji kufikia FULL CHARGED. Itabadilika na kua nyeusi na itaandika "On A/C" itakapokua FULLY CHARGED.
Hizi ni kati ya mambo ambayo "BatteryBar" itasaidia:

· Kwa takwimu inatasfiri muda -
· Tafsiri - Unauwezo wa kutumia lugha ama kubadili kabisa iliyokuwepo(English)You
Requirements:

.NET Framework 2.0
Ukubwa / OS: 1.2 MB / Windows 2K / XP / 2003 / Vista / Vista64 / 7



0 comments:

Post a Comment


Best Blogger Tips

Powered by Blogger.