Tuesday, July 31, 2012

AVAST FREE ANTIVIRUS



Avast! Free Antivirus ni sawia hasa kwa wanaotuma zaidi email na kuperuzi kuraza za tovuti maaraufu. avast! ni application yenye dhumuni la kuilinda computer dhidi ya virusi ama malware. Kama ukiitumia kwa usahihi, na kwa usaidizi wa program zingine za data backup, inaweza kupunguza sana kama si kufuta kabisa uwezekano wa computer yako kushambuliwa ama kuathiriwa na virusi, na kw hivyo kuepusha hatari ya kupoteza  data muhimu.
Nyuma yya kushinda zawadi mbalimbali za ubora! antivirus engine, avast! antivirus imebeba kazi zote muhimu ambazo zinatakiwa kuwemo kwenye antivirus program ya kisasa. Inajumuisha anti-spyware technology iliyothibitishwa na West Coast Labs' Checkmark process, ikiwamo anti-rootkit na self-protection capabilities yenye nguvu zaidi, si hayo tu bali kwa sasa inaspidi kubwa sana linapokuja suala la kuscan. Imesheheni real-time "Shields" mbalimbali ziwezeshazo kumonitor email na Internet connections bila kusahau kucheki mafaili yako yaliyopo kwenye computer muda wote pindi yanapofunguliwa ama kufungwa.
Requirements:

· Processor Pentium 3
· 128 MB RAM
· 200 MB of free hard disk space



UKUBWA: 85.2 MB
OS: Windows 2K / XP / Vista / 2008 / Vista64 / 7 / 7 x64





0 comments:

Post a Comment


Best Blogger Tips

Powered by Blogger.