Avira AntiVir Rescue System hurahisisha kuaccess computer ambayo imegoma kuboot. Kwa hiyo inakua rahisi:
- Repair Systrm yenye hitilafu, kuokoa data,
- Kuscan system nzima kuondoa maambukizo ya virusi.
Unatakiwa kudouble-click kwenye Rescue system package ili uiburn kwenye CD/DVD. Kisha panapotatizo hilo unaweza tumia CD/DVD kuboot computer yako.
ScreenShots
|
0 comments:
Post a Comment