Tuesday, July 31, 2012

USB DEFENDER 1.2


Application itakayokulinda dhidi ya USB Flash viruses.

Umeshawahi jiuliza, kwa nini kila mtu anaongelea kuhusu hatari ya USB flash? Kwa nini ni vigumu kudhibiti maelfu (!) ya virusi ambao wanasambazwa na na kitu kidogo kama flash drive? Kuna program nyingi sana ambazo hua zinasubiri flash iunganishwe kwenye computer na kisha ianze kazi ya kusaka virusi na kuziondoa. Program hii inafanya zaidi ya hilo kwani hii huVACCINATE (CHANJO) kwenye USB Flash yako, na kamwe hutopata shida ya kupoteza file zako kwa kuliwa na virusi. No more viruses. No more danger.

USB Defender ilitengenezwa kwa lengo la kutumika kirahisi. Unaweza ona button 2 tu: "Protect" na "Unprotect". Button ya kwanza inatumika kuvaccinate flash yako, na ya pili kuondoa PROTECTION. Baada ya kuchagua drive yoyote, program automatically itagundua, kama kuna PROTECTION iliyo ACTIVE na button 1 tu ndio itakuwepo.

USB Defender ni portable(Haiitaji installation: ni kuirun) - kwa hiyo unaweza kwenda nayo kokote ila unashauriwa kudownload hapa ili usije kopi kutoka kwa mtu ikiwa tayari imeshaathirika kwani ikiwa imehifadhiwa na ipo inactive mahali palipo virusi! Irun flash yako ikiwe imeunganishwa na computer yako kisha Protect.


Mahitaji:


· Monotype Corsiva font installed·


· new interface
· decreased exe size
· own combo
· shows drive's letter, label and file system
· only flash drives shown
· removed note about another program protection
· all found bugs fixed

Ukubwa: 352 KB 
OS: Windows 2K / XP / Vista / 7

0 comments:

Post a Comment


Best Blogger Tips

Powered by Blogger.