Tutakutamkia : F-U-N! Shabihisha herufi na unda maneno katika gemu hii ya mafumbo. Lex, Bookworm mwenyewe,ishi kwa kula herufi unazoziunda kwa kuziunganisha pamoja. Mshibishe kwa kujaza tumbo lake ndiiii na utajipatia pointi nyingi. Gemu hii usihofu muda, tulia na panga kwa makini muvu zako. Jiangalie: Ukichoma tiles nyekundu zinazotishia kuanzisha moto library.
- Tamka maneno upate point za nguvu.
- Panga pangua na panga tena ndo aina ya gemu hii.
- gemu itayokushughulisha kwa watu wa umri wowote.
System Requirements:
- OS: Windows 2000/XP/Vista
- CPU: 600 Mhz
- RAM: 128 MB
- DirectX: 6.0
- Hard Drive: 10 MB

0 comments:
Post a Comment