UNGANA na Iris and Robin kwenye safari nzuri na ndani ya safari hiyo wasaidie kushinda mashindano ya Maajabu kwenye Magic Farm 2: Fairy Lands! Kwa msaada wa marafiki wapya na wa zamani, pia ardhi iliyoboreshwa, gemu hii ya kumeneji muda itakufanya uwe bizi kwa raha muda mwingi! Panda na kusanya mauwa na timiza matakwa yasiyo kawaida ili ufanikiwe!
0 comments:
Post a Comment