Pata ujuzi wa kupika kitaalam kwenye game hii ya Happy Chef, gemu ya kusisimu ya kumaneji muda ikiwa na aina mbalimbali ya vyakula! Fuata maelekezo ya jikoni ili uoneshe ujuzi wako wa mapishi. Anza kwa kutengeneza hamburgers na hot dogs taratibu utaanza kua mtaalamu wa kupika vyakula vigumu zaidi! Kwa pesa unazopata kutoka kwa wateja, Karabati Mgahawa wako, nunua fenicha mpya, tafuta viungo bomba zaidi, na fanisi mgahawa wako uwe Mpishi mwenye furaha ( Happy Chef)
- Karabati Mgahawa wako
- Ongeza manjonjo kwenye menu yako iwe na vitu zaidi
- Kua Mpishi bora na Mwenye furaha!
System Requirements:
- OS: Windows XP/Vista/Win7
- CPU: 800 Mhz
- RAM: 256 MB
- DirectX: 9.0
- Hard Drive: 419 MB

0 comments:
Post a Comment