
Ni fumbo lenye action litalokufanya ununue samaki, boresha silaha zako, na kufumbua PETS waliofichwa ukiwa unavinjari kwenye dunia chini ya maji. 3D graphics za hali ya juu, sound effects za kusisimua, matokeo halisi na viumbe vya ajabu visivyo na hurumayote hayo yanaifanya hii gemu kuwa si ya kukosa!
- Aina 4 tofauti za gemu unazoweza kuchagua.
- tengeneza aquarium screensaver yako na urembe laptop yako.
- Mpe jina utakalo samaki wako ndani ya tanki.
System Requirements:
- OS: Windows 2000/XP/VISTA/7
- CPU: 600MHz or faster Processor
- RAM: 128 MB

0 comments:
Post a Comment