Ng'ata hadi ufike kwenye kiini cha siri zilizo ndani ya bahari.Kutoka Feeding Frenzy namba moja sasa hii ni nzuri zaidi wakiwamo samaki wanaorandaranda bila kutulia, madhari nzuri za kuvutia, na levo 60 za kufurahisha! Kula ndio kazi kwenye gemu hii yenye medeli mbili, jaribu kuwakwepa wanaokuwinda ili nao wakutafune katika safari yako.
- Levo 60.
- Modeli mbili za uchezaji.
- Samaki wapya na manjonjo yao.
System Requirements:
- OS: Windows 2000/XP/Vista/7
- CPU: 600 Mhz
- RAM: 128 MB
- DirectX: 6.0
- Hard Drive: 22 MB

0 comments:
Post a Comment