Friday, July 13, 2012

PLANTS vs ZOMBIES

Wafu wanashambulia nyumba yako na hasa wanataka ubongo wa yoyote aliye ndani ! Bahati!, una silaha usiyoitarajia, mazao uliyopanda mbele ya nyumba yako ndio muokozi wako katika Plants vs. Zombies! Unagundua unasilaha tele mbele ya bustani yako kuanzia peashooters, melon-paults, and cherry bombs, kwa kua mbegu bado unazo unatakiwa kufikiri kwa haraka, na kupanda kwa haraka pia, kuzuia WAFU watembeeao kwenye mstari ulionyooka kukaaribia lango lako. Vipingamizi kama Kuzama kwa jua, umande, na bwawa la kuogelea vinaongeza manjonjo na kufanya uendelee ku have fun kwenye gemu hii!
  • Viumbe vya ajabu
  • Fikiria Haraka
  • Linda Ubongo Wako!

System Requirements:
  • OS: Windows XP/Vista/Win7
  • CPU: 1.2 GHz
  • RAM: 512 MB
  • DirectX: 8.0
  • Hard Drive: 52 MB








0 comments:

Post a Comment


Best Blogger Tips

Powered by Blogger.