
Friday, July 13, 2012
KILLER COVER LETTERS & RESUMES
BARUA ya kuombea kazi siku hizi hazichukuliwi kwa umakini unaotakiwa ingawa kwa kila muajiri hua anataka sana uwe na Cover Letter. Umakini hua kwenye kuandaa CV bila kukumbuka Cover letter na hata utapoambiwa uiandae ni mara chache sana utakumbuka kuioanisha na CV. Kitabu hichi kitakuelekeza kuandaa vitu hivi muhimu viwili kwa wakati mmoja ili kuepuka mkanganyiko.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment