Friday, July 13, 2012

HOW TO PREPARE YOUR CV

NI fedheha kako na ajabu kwa wasaili wanapogundua kumbe hata CV uliyoiandika haiendani na unachokijua kwa kua umesahau ulichoandika ama kilichoandikwa kimekokotezwa sana kiasi hata we mwenyewe inakuchanganya. Fuata hatua kwenye kitabu hichi ujue hasa nini cha kuandika na nini cha kuacha na njia rahisi ya kuonekana umejitayarisha.

0 comments:

Post a Comment


Best Blogger Tips

Powered by Blogger.