Jaribu bahati yako kwenye biashara ya harusi! Holly anaendesha Salon nying za Harusi, kazi yako ni kumsaidia kuiendeleza, ukiwa unatoa huduma ya hali y a juu kwa wateja. Mara utapopata njia muafaka kwa kila mteja, jitihada zako zitatunukiwa kwa kupewa bah shishi (tips). Tumia pesa zako unazopata kuajiri wafanyakazi na kuboresha vifaa zaidi ndani ya Wedding Salon, gemu ya kumeneji muda!
- Inachezwa harakaharaka
- IAction za kuvutia
- Fanya Wedding Salon iwe yako!
System Requirements:
- OS: Windows XP/Vista
- CPU: 1.0 GHz
- RAM: 512 MB
- DirectX: 7.0
- Hard Drive: 61 MB
Jinsi Y Kucheza:
0 comments:
Post a Comment